Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,811
- 40,567
No, haya shida yake haushibi. Unaweza maliza hotpot mbili kubwa zile za pilau la mwaka mpya.
Naomba uanze kwangu nipo huku kwedikwanzuNikiamka nikute picha kama zote la sivyo nawaroga wote
Mhhhh ! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Bro acha hizo basi [emoji23]
Naomba uanze kwangu nipo huku kwedikwanzu
Mpendwa
Usijali, 65+ utaifikia tu mdogo wangu. No need to rush kama Watu8Jamani. Mi 65+ kweli unanipachika udogo wako. Siyo kwamba unipe ukaka mkubwa na shikamoo juu tena huku ukiwa umepiga goti chini kama mabinti wa Kisukuma?
Tuvumilieni tu; na kama ilivyo mtaani, wote humu si mafurushi/mambwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaliyomo yamejaaaaaView attachment 1263298
Wembamba wa reli
Nimeweka mpendwa angalia comment za leo kuna mrembo kanyoa kipara.Kila siku nalilia picha yako hata kamguu tu au kamkono.
Na mimi naomba nieceNjoo PM nikupe yote uncle [emoji14]
Word.. I once told you!!.Nimekupata kamanda. Hatuwezi kufanana. Na katika utofauti wetu ndimo mna maana halisi ya maisha kama yanavyoishika katika kasayari haka kazuri tulikopewa tukaharibu. Tutakwenda kufanana mbinguni/jehanamu [emoji16][emoji16]
No probs!Na mimi naomba niece
Bro umefunga PM? Kuanzia lini mambo hayo 🏃Mhhhh ! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuweka hapa. SikushauriNo probs!
Au nitaweka hapa...ngoja watoto walale
Kila siku nalilia picha yako hata kamguu tu au kamkono.
Ukiomba ruhusa unafunguliwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Bro umefunga PM? Kuanzia lini mambo hayo [emoji125]
Mimi ni kaka yako tena wa mbele mbele kabisa huko. Naomba shikamoo yangu pulizi. Na mimi siyo furushi [emoji16][emoji16][emoji16]Usijali, 65+ utaifikia tu mdogo wangu. No need to rush kama Watu8
Safi sana shem..Nilitaka nikushauri hivyo pia.Siku hizi sivai shem[emoji85]