Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.

Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana πŸ’ͺ

Happy in advance HIV/AIDS day.
Hongera sana babu

Vijana hawawezi kufanya hizi mambo maana wanaogopa venye hawajiamini wana mambo mengi.
 
23 si ndo mpo sawa au kakuzidi ngapi hapoπŸ˜œπŸ‘‹πŸ‘‹
 
23 bado anajitafuta huyo, ana safari ndefu sanaaa.

Temana naye tafuta kibabu chako kimoja ule pensheni kiroho safi.
 
View attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.

Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana πŸ’ͺ

Happy in advance HIV/AIDS day.
Lol safi sana granpa😍😍😍😍😍!!
Hongera kwa kujitunzaaaa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘!
Mungu akuepushie nahayo magonjwa yasiyoambukizwa granny live longer 😘!! Haya Wigelekelo Poor Brain Vijana igeni mfanooo huuuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekumbuka story yako moja, nimekaa kwanza nachekaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…