Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimesikiaaaaa bas sasa niwage buzzy na wazee hawa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee ndio mpango mzima
Kwanza hawana mambo mengi maana wako busy kutafuta hela af sio washamba na pisi maana washazipitia sana so saivi wametulia wanataka uwape utulivu tu.

Cc: Depal
 
Wazee ndio mpango mzima
Kwanza hawana mambo mengi maana wako busy kutafuta hela af sio washamba na pisi maana washazipitia sana so saivi wametulia wanataka uwape utulivu tu.

Cc: Depal
Kunywaaa biaaa kwa mangi hapooo bili kwanguuuuπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€Έ Hebu Nipe tano kwanzaaaaπŸ€›
 
Hivyo visharobaro vinavyojua kulamba lips na kupiga picha za kupost sio kabisa.
Mwanaume anasifiwa kufanya kazi, na awe na allergy na camera hasa selfie [emoji23]
Umesikia didi ake cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Na ile style yao ya kufuga madevu khaaa, wanachefua kwakweli 🀣🀣
Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!

Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo😍😍😘😘😘😘!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha wanashaurii pia !!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…