Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila huyo usimloge plsss, ni kijana mwema

Hawezi kukuacha
nikimrogaaa hapo sasa c atakua zezetaaa, uwiiiiiih.

Mwanaume mpoleee na amepoaaa mnooo, yaan hana amsha amsha. Nachopendaaa sio mchoyooooooo.

Mjep naomba vocha ya 30k, ili niamini unanipenda kweli, c nimeambiwa mie wa kupewa buku buku.

Hebu waonesheeee venyeee unanijaliiiii, huhuhuh
 
Baelezeeee baelezeeee baeleweeee dearrr....hao wanataka tuvijana sharobaroooo hata hatujui maishaaa full ubishoo!! Hapana kubwa kwakweli
Hivyo visharobaro vinavyojua kulamba lips na kupiga picha za kupost sio kabisa.
Mwanaume anasifiwa kufanya kazi, na awe na allergy na camera hasa selfie πŸ˜‚
Umesikia didi ake cocastic
 
Kiufupi huyo hanaga mbambamba, labda uzingue wewe tu.

Cc: Mjep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…