Mwanaume kuwa na kipato ni biig plus kum win mwanamke kwa sababu wanawake wana prefer wanaume wapo stable financially, thatβs not to say the reverse isnβt true kuna wanawake wanafanya kazi na wanaume wanaangalia watoto lakini ni mara chache, ndio maana wengine wana hide financial status zao mwanamke akija kufahamu siri tayari wapo deeper kwenye mahusiano, kwa hio at first mwanamke alifahamu kuna pesa...
Haya siku njema...