Uanze na ipi kufanyeje kwanza??? Mie wote naona vitoto vishororo tyu kidoooogoo namba 9 huyooo naona nae kidogo sana!! Haya Tinsley Lovelovie mkujee mkujeee chagua hensamu hukuuu!!Depal dyadyaaaa ake,
Lenie didii akeeeee
sophy27 shangaziiii akeee
Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee
Tinsley dear ake.
Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.
Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol
Sasa nyie mniambie nianze na yupi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shogaaaaa c naulizwaaaa mbna na tonnia kmyaaaa, mie najibu sijui hata ila tuko fresh mbna, naambiwa kheeeeeh umepigwaaaa stop uwiiiiiih.Ebu ncheke kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji16][emoji23]!! Nani huyo wa kunikataza miee humuu fanya kuniletea hapaa kwanza nimuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]!!,??!!
Mi Nakutizama tu unavonipotezea mwenyewe sijui nimekukosea nini hata shoss akee !! Mi mwenyewe Jambazi suguu alieshindikana[emoji41][emoji2960][emoji2960]!!
Afu dear nlisahau kukutag, eti muangalie vizuri huyu no 4 ni km mkaka wa hapa Selfika, yaan vile vile. Nlshtukaa sanaa.Namba 4
No 5 mbna anaonekana mtu mzimaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ccy mim hapo wote ni watoto kwangu. Yani mtu ninae weza kua nae kweny mahusiano angalau anizidi miaka 6. Na sharobaro asiwe kabisa kabisa
Anza na BwanaDepal dyadyaaaa ake,
Lenie didii akeeeee
sophy27 shangaziiii akeee
Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee
Tinsley dear ake.
Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.
Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol
Sasa nyie mniambie nianze na yupi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufaanyaje c kuchat nao naweee, no 9 na 5 ni watu wazima bhanaaaa.
Hiko kisiwa ukiwa hapo ndipo uta feel uko paradise, mchanga wa beach ni mweupee, maji yapo clear sana... ukikaa kwenye hizo overwater bungalows ile mida ya night mko couple na ka upepo ka bahari, aisee mtazagamua humo...Siku nikiotea pisi kali na nikiwa na hela nitaenda nayo huko 😅😅 au siku nikioa
Ee kuna mtu wanafanana kichwa, ana tabasamu tamu.Afu dear nlisahau kukutag, eti muangalie vizuri huyu no 4 ni km mkaka wa hapa Selfika, yaan vile vile. Nlshtukaa sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No 2? Yaan B?Anza na Bwana
Hao wamekaa kisharobaro. Me nataka mwanaume ambae yeye na picha ni pua na kisogoNo 5 mbna anaonekana mtu mzimaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyoooo yaan vile vileee had kucheka na dental formula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni yeyeeee huyu.Ee kuna mtu wanafanana kichwa, ana tabasamu tamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wazee wenyewe hawataki kuzeeka.Hao wamekaa kisharobaro. Me nataka mwanaume ambae yeye na picha ni pua na kisogo
Mtu mzima wapi huyoo hana utu uzima wowote nivile sharubu ka mjomba angu namie hapa National Anthem 😁😂🤭🤭No 5 mbna anaonekana mtu mzimaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] em nitachungulia tena picha yake akiweka hapa.Ndyoooo yaan vile vileee had kucheka na dental formula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni yeyeeee huyu.
Wee Nani huyoo shougaaangu Hebu nitoe tongotongo kwanzaaa!!Ndyoooo yaan vile vileee had kucheka na dental formula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni yeyeeee huyu.
Mim sijafikisha hata 23 kwa hyo nikitaka huyo wa kunizidi miaka 6 hata 29 atakua bado hajafikisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wazee wenyewe hawataki kuzeeka.
Yaan ni yeyeee kabisaaaa huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em nitachungulia tena picha yake akiweka hapa.