Pumzi ipo ya kutosha dada yangu βΊοΈβΊοΈ maana situmii aina yoyote ya kilevi wala kivuto so mapafu yangu na figo kama za mtoto mchanga π π π mie huwa ni majii kwa wingi madafu na majani majani
Miss u my shoga uyogaaaaa, naambiwa umekatazwaaa mazoea na mie, ndo maana unanichunia, kheeeeh haya bhana. Endelea hivyo kutii agizo, isije semwa nakurubuni, akuuuuuuh sitaki.