[emoji23]nikikipata utaniacha ?Kitambi kinapiga hodi kwenye mwili wako.
thank you mdogo wangu!!Inaboa but calm down Bebe
Ni nini hichi unajaribu kufanya???
Whoever you are, don't try me please!!
Hii ndo tabia nisiyoipenda, Wabongo mna nini lakini!!? Unataka kuaminisha nini hapa watu??
Sawa mumie wangu!Punguza hasira dear
Hapana sitakuacha ila nitakuwa nakupiga matukio kitapungua kwa lazima[emoji23]nikikipata utaniacha ?
Utafikiri kama vile ulikuwa na hili jibu umesubiria tu. Nimecheka sana![emoji23]nikikipata utaniacha ?
Waastrabu ni wachache mno, wengi wao hawajitambui humu ndani lol.
Unavyozidi kumjibu watu wataanza kutafuta chanzo mimi niliyoona hiyo picha sikuichunguza kivile ila ulipoanza kujibu imebidi nirudi kuicheki tena potezea yaishe.Sawa mumie wangu!
Cool and easy.. ndicho nachoweza kukushauri..Potezea.Ni nini hichi unajaribu kufanya???
Whoever you are, don't try me please!!
Hii ndo tabia nisiyoipenda, Wabongo mna nini lakini!!? Unataka kuaminisha nini hapa watu??
Cool and easy.. ndicho nachoweza kukushauri..Potezea.Ni nini hichi unajaribu kufanya???
Whoever you are, don't try me please!!
Hii ndo tabia nisiyoipenda, Wabongo mna nini lakini!!? Unataka kuaminisha nini hapa watu??
Haha.!Huyo itakuwa alitaka tu kufanya kama Idris, sidhani kama alikuwa anamaanisha kivileee...
At least hivyo ndio nilielewa nilipoona hiyo post, na vile hili jukwaa ni chitchat...
Nimecheka tayari Denvers, ahsante!!Cool and easy.. ndicho nachoweza kukushauri..Potezea.
Sio kila kitu unachofanyiwa lazima u react negatively (Angry). Unawapa nafasi adui zako wajue udhaifu wako upo wapi!
U have to react with Hahahahahahah in anything.. no matter what kind of situation you're going
Sawa Maa, nimemuacha tayari.!Unavyozidi kumjibu watu wataanza kutafuta chanzo mimi niliyoona hiyo picha sikuichunguza kivile ila ulipoanza kujibu imebidi nirudi kuicheki tena potezea yaishe.
YesJKT Ruvu ama?
Play Dumb smart like Joker...Nimecheka tayari Denvers, ahsante!!
MmmhUtafikiri kama vile ulikuwa na hili jibu umesubiria tu. Nimecheka sana!