Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Vp experiance yako ipo vipi hapo... Mpaka umesema hivo
Bahati nzuri sijawai kuwa na uzoefu na wanawake wa humu toka nimejiunga JF, na sijawai omba na sitokaa niombe kukutana na wanawake wa humu.. Sababu kubwa ya visa ninavyo visoma humu ndani vya usariti, unafiki, uongo na kuzishiana na watu kupenda kujuana juana ile kinafiki.. Sasa wengine maisha yetu tulisha amua kuwa ya siri na yasio julikana na kila mtu.. Baadhi ya washikaji kama wanne tu ndio ambao nimewi kutana nao.. Ila wanawake kaa nao mbali hukosi kuambiwa ulitaka kuwabaka
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanawane weee muoga bhana.... Shida ipo wapi hapo.. unajitoa ufahamu tuu.. weeknd vibeee mi naingia beach 🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya visa vya usaliti oky ila hayo yapo tuu na tunaishi nayo... ,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naselfika tuseme amen😁😁🤭🤭🤭!!! Utikia mjomba!!🤣
 
Unataka ubakwr labda labda 🤣🤣🤣😬😬😬!! Unanitafutia laana za rejareja mr T baki huko huko pullliiizzzzzzzzzzzzzzz ✋✋✋!
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 Weeeeh hii mii siijibu nampa..NT hatakujibu hii.. na usikae ukalaumu majibu yake... National Anthem jibuu hii👆👆👆
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanawane weee muoga bhana.... Shida ipo wapi hapo.. unajitoa ufahamu tuu.. weeknd vibeee mi naingia beach 🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya visa vya usaliti oky ila hayo yapo tuu na tunaishi nayo... ,🤣🤣🤣🤣🤣
Kila la kheri aseee... Mie mwanawane kwa hawa wamama zetu acha niwe muoga 😅😅 sitaki kuishi kwa mashaka humu, mwisho wa siku uambiwe mtu mwenye anakojoa kama kuku akiingiza na kutoa tayari, una hama jf bila kupenda 🤣🤣🤣 acha tubaki na wadada zetu wa kitaaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanawane weee muoga bhana.... Shida ipo wapi hapo.. unajitoa ufahamu tuu.. weeknd vibeee mi naingia beach 🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya visa vya usaliti oky ila hayo yapo tuu na tunaishi nayo... ,🤣🤣🤣🤣🤣
Nasubiria 🤳🤳🤳🤳🤳🤳 tyu miee!! Cant wait 💃💃💃💃!
 
Back
Top Bottom