Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,,,,,, Na wao wanataka mbona sema wanasema hatupo seriously kabisa
Wao ndio hawapo serious, kwanza wamefunga PM alafu wanazingua sana.. wana dharau hawa wanatuona jobless kumbe tunaweza waambia wakae ndani wakalipwa wanacho angaikia na kila kitu wakapata ndani 🤣🤣 ila hapa wanatuona kama mbuzi wa albadiri
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Leo unaongea yotwe kaa mbwaimbwai tuuu... 🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👊👊👊👊👊👊 Wanakufatilia taratibuuu
 
Back
Top Bottom