Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwanabwanaaa jana ile mchana si nkajifanya kucheki boli la saa 7 kwa simu na tu mb twangu twa kubip??!!! Hata mpira hatukuumaliza tu Mb twote kwishaaaa 🤣🤣🤣🤣😁!! Huku kwenyewe bushiiii vocha hadi muagize mjini huko kwenye duka chair wa kitongoji!! 🤔🤔!! Leo Jioni ndio nikasafiri kufata vocha nahuduma zinazofanana nahizo!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Daah hatareee sana hiyooo... Nikawa najiuliza jamn dada mtu yup wapi mbona siku yangu leo itakua ya shidah 🤸🤸🤸 nafurahia uwepo wako
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Daah hatareee sana hiyooo... Nikawa najiuliza jamn dada mtu yup wapi mbona siku yangu leo itakua ya shidah 🤸🤸🤸 nafurahia uwepo wako
Wabheja sana Ndugu!! Nipe matokeo ya Equator na Senegal kwanza Tanesco hawaaa!!!
 
Back
Top Bottom