Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Unaweza kunipa tofauti ya msingi(sensible) kati ya wanaume wanaotumia JF versus wanaotumia aina nyingine za mitandao ya kijamii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata wakibahatika kujua, wanaume wa JF hapana kwa kweli
Hawachelewi kuja na mada zao humu fulani ana madoa madoa mwili mzima, fulani ana bwawa. Hapana kwa kweli lol.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuunga mguu.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawachelewi kuja na mada zao humu fulani ana madoa madoa mwili mzima, fulani ana bwawa. Hapana kwa kweli lol.
Waastrabu ni wachache mno, wengi wao hawajitambui humu ndani lol.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafurushi.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyu ni mtu wa pili namuuliza hili swali lakini hakuna kati yao aliyeweza kunipa majibuAkiweza naomba unishtue mkuu
Tatizo mnakutana na watoto. Muwe makini with the people mnao associateHawachelewi kuja na mada zao humu fulani ana madoa madoa mwili mzima, fulani ana bwawa. Hapana kwa kweli lol.
Dah! Punguzeni stori basi wakuu, wekeni picha macho yetu yaendelee kusuuzika [emoji120][emoji120][emoji120]
Kule kwenye kile kilele kuna hotel flan hivi ina swiming pool. Ukikaa kule juu unaiona dsm yote.
Sema ah kumekaa kama mkoani vile
Huyu ni mtu wa pili namuuliza hili swali lakini hakuna kati yao aliyeweza kunipa majibu
Tatizo mnakutana na watoto. Muwe makini with the people mnao associate
Kitambi kinapiga hodi kwenye mwili wako.
Bro, huyu ni wewe?
Ni nini hichi unajaribu kufanya???