Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,751
- 58,298
Waite waje hukuuuAcha wanesenese banaaa 😅😅😅
Waite waje hukuuuAcha wanesenese banaaa 😅😅😅
Napaelewa vyedi,,jua plus vumbi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Malaika wa zamu kitengo cha kuwasha jua... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌:::Huku dodoma ndo hapashikiki
Ikifika usiku ni baridi...🤣🤣🤣🤣 Jangwani kuna mambo ya ajabu khaaaNapaelewa vyedi,,jua plus vumbi
Yani ni mwendo wa kupauka lolNapaelewa vyedi,,jua plus vumbi
Haha dada mzuri,, umefika na hapa 😍 fanya kunibless na kaselfie wakati tunawasikilizia Senegal hapo baadaeYani ni mwendo wa kupauka lol
Kulekule mzee baba?🤔😅😅😅😅😅 Leo weekend mwanawane.. acha nisogee mji wenye milima kuangaza angaza
Ndo wakumuuliza hayupi sasa🤣🤣🤣Daaah picha zangu zimeshatosha humu mrembo muulize Antonnia
Umeona eeeh an huku so poaYani ni mwendo wa kupauka lol
Baaasi mbunga kubwa ile 😅😅Kulekule mzee baba?🤔
Ila hebu ww ndo leo utubariki japo kidogoooSitaki… nataka ya leo ya kuwasindikiza senegal
Hatarii bila glycerine ngozi itakua kama ardhi ilokosa mvuaUmeona eeeh an huku so poa
View attachment 2427236
Nice pafume for ladies
Ukipata mume anaejali kama wangu wala hununui anakuletea tuu 🙂 😎😎😎Tukikuwa wakubwa tutanunua 😒
Ameeeeenn to that Lee King hubby 😍Ukipata mume anaejali kama wangu wala hununui anakuletea tuu 🙂 😎😎😎
Pole sanakaJunia kameharibu simu.
Hapa nawaza sijui napata wapi contacts za watu na sikusave kwenye email.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanaume wa humu hamuwez kucheza hata upatu mkanunua mkatugea dadazenu 😂😂😂View attachment 2427236
Nice pafume for ladies