Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
kaJunia kameharibu simu.Nimemiss selfie Yako mama Junia
Hapa nawaza sijui napata wapi contacts za watu na sikusave kwenye email.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
kaJunia kameharibu simu.Nimemiss selfie Yako mama Junia
Imeharibika vipi ankaJunia kameharibu simu.
Hapa nawaza sijui napata wapi contacts za watu na sikusave kwenye email.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
H,,bathday#birthday mood
Nasubiria zawadi jamani 🎂View attachment 2427037😎😁
Aina gani...?
Mbona inawezkana tuu si shida namba
hbd madame
Pozi za kichokozi kabisa hizi 🤣🤣🤣 kwa pozi hili unaachaje kula tope mwanawane 🤔😅😅😅😅 Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
Mods wakae kwa kutulia jamani vitu vitamu kama hivi😅😅😅 Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
Hebu Poor Brain tupia neno hapo 🤣🤣🤣😅😅😅 Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseeee
😅😅😅😅😅 Leo weekend mwanawane.. acha nisogee mji wenye milima kuangaza angaza
Wapiii hiyooo... Leo una vibeee ka lote nakuona tuuuu mwanawane😅😅😅😅😅 Leo weekend mwanawane.. acha nisogee mji wenye milima kuangaza angaza
Jua hili linalipwa overtime sijui, maana liko serious na kazi balaa
Wametukimbia kabisa an hawataki utani aiseeee
Punguza dhambi.. Mbona huku kwingine fresh tu..
Acha wanesenese banaaa 😅😅😅Wametukimbia kabisa an hawataki utani aiseeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Malaika wa zamu kitengo cha kuwasha jua... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌:::Huku dodoma ndo hapashikiki