Haha yeah ipo aisee ile njia mimi ndiyo njia yangu pendwa nikiwa naenda kutembea mlimani kule mamlaka ya hali ya hewa tanzania,, kule kwenye ule mnara wenye mpira mweupe kwa juu ukisimama kule kwenye ule mnara unayaona majengo marefu ya posta na bahari unaiona kwa mbali wanasema pale ndiyo the highest point in dar es salaam na ule mpira hadi ukiwa kinyerezi mwisho kama unaenda mbezi unauona na ukiwa pugu stesheni pia unauona..