Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
tubet BasiFinally you will see.... Najua wee team yako haitoboi 🤣🤣👆👆
yangu itafika hadi fainali
tubet BasiFinally you will see.... Najua wee team yako haitoboi 🤣🤣👆👆
🤣🤣🤣🤣👆👆👆 Huyooo kigeu geu wewe....."" Naijua hiyooo,,"" au utobadilikatubet Basi
yangu itafika hadi fainali
Sibadiliki🤣🤣🤣🤣👆👆👆 Huyooo kigeu geu wewe....."" Naijua hiyooo,,"" au utobadilika
Yaan ka wale wanaozaniwa ni vibnde wamewachapa.. sipati picha mkikutana na wajuviSibadiliki
Mimi nipo loyal
hatari aiseeYaan ka wale wanaozaniwa ni vibnde wamewachapa.. sipati picha mkikutana na wajuvi
Mtapigwa hovyo hovyohatari aisee
yetu macho
Wao ndo watapigwa 🤣🤣🤣Mtapigwa hovyo hovyo
Aahahahahahah tubet nikukule pesa hizo...😜😜😜Wao ndo watapigwa 🤣🤣🤣
Sina na uchungu mie .
Atakaeshinda ndo team yangu .
Tafuta mtu mwingineAahahahahahah tubet nikukule pesa hizo...😜😜😜
Weka mawe mi taweka pesa.🤣🤣🤣🤣 Ni vile naamini hamtoboi....Tafuta mtu mwingine
Sina hata pesa 🤣🤣
Sina hata hayo maweWeka mawe mi taweka pesa.🤣🤣🤣🤣 Ni vile naamini hamtoboi....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Weka chochote kile....📢📢📢📢Sina hata hayo mawe
bet wewe hapo .
sina cha kuweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Weka chochote kile....📢📢📢📢
Ila kubet si unataka au hutakii.... 🤣🤣🤣🤣sina cha kuweka 🤣🤣🤣
NatakaIla kubet si unataka au hutakii.... 🤣🤣🤣🤣
Una lips💋💋 tena nzuri kwa aliye ona amesema ya moyoni we betia hzo..... 🤣🤣🤣 Na utabaki nazo sio kama niki shinda tazikata walaaaaahNataka
nibet na kipi Sasa 🤣🤣
Hahaaha waumwa kwa hiyo nibetie lips 🤣🤣🤣Una lips💋💋 tena nzuri kwa aliye ona amesema ya moyoni we betia hzo..... 🤣🤣🤣 Na utabaki nazo sio kama niki shinda tazikata walaaaaah
Itajulikana,,,, itafahamika.... 🤣🤣🤣 Unaogpa kwani🤨Hahaaha waumwa kwa hiyo nibetie lips 🤣🤣🤣
nikishinda je na team yangu ?
HahhaaItajulikana,,,, itafahamika.... 🤣🤣🤣 Unaogpa kwani🤨