Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,751
- 58,296
Sema ajalia mda mrefu sana huyu mpaka kajisahau... 🤣🤣🤣🤣 Ngoja kuna pasua kichwa chake kipo way...nimezoom nikaona babyface ya bashasha.
Ninyi hata mkikasirika sura bado zinakuwa na nuru.
Kimbilio lenu ni kujifungia peke yenu na kulia.