Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,425
- 54,880
Leo nilikua bize ila ningesema nifatilie hyo mechi bhass ungekua wrong kabisa ungechezea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahhaah nilisema toka mwanzo
team France mie
Leo nilikua bize ila ningesema nifatilie hyo mechi bhass ungekua wrong kabisa ungechezea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahhaah nilisema toka mwanzo
team France mie
Hahhaa 😂Leo nilikua bize ila ningesema nifatilie hyo mechi bhass ungekua wrong kabisa ungechezea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera team agentina...Hahhaa 😂
ndo tumeshinda sasa
hapana chezea France
Ooooh sory hongera team franc🤣🤣🤣🙌🙌🙌 bahat mbay🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera team agentina...
hahahaha ishakwisha hiyi🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera team agentina...
nijifunze kifaransaOoooh sory hongera team franc🤣🤣🤣🙌🙌🙌 bahat mbay
Warabu sio poa.. wee utajiona mwaka huu kuna mambo mamb meng watu hawatoamini.. mikeka itachanika sana na mihindi ataendelea kunywa chai ya maziwahahahaha ishakwisha hiyi
waarabu hawaamini hadi kesho wamefanya iwe sikukuu.
Usinambie basii.. yaan hapa bado mi na wewe tuu au na wee kidogo unajua...🤣🤣🤣🤣nijifunze kifaransa
Ila boss lady anakijua vyedi
Hatari aiseeWarabu sio poa.. wee utajiona mwaka huu kuna mambo mamb meng watu hawatoamini.. mikeka itachanika sana na mihindi ataendelea kunywa chai ya maziwa
nikijulie wapi zaidi ya salamuUsinambie basii.. yaan hapa bado mi na wewe tuu au na wee kidogo unajua...🤣🤣🤣🤣
Mambo haya tabiriki kabisa.. wengine tutafatilia hapo badae mambo yakichanganya🤣🤣🤣.Hatari aisee
mpira ndo umeanza kwa kweli
tupo kujionea hapa
Kwahyo hapo unajua lugha ngapi...🤣🤣🤣🤣🤣 Ukute ushua mwing cha nyumbani ukijui 🤣🤣🤣nikijulie wapi zaidi ya salamu
bora hata kispanyora nilijifunza uongo na kweli .
Hahah tutasubiri tuone team yakoMambo haya tabiriki kabisa.. wengine tutafatilia hapo badae mambo yakichanganya🤣🤣🤣.
Kiswahili tu ndo najua 🤣🤣🤣Kwahyo hapo unajua lugha ngapi...🤣🤣🤣🤣🤣 Ukute ushua mwing cha nyumbani ukijui 🤣🤣🤣
Mi yangu takutajia tukifika robo finallly🤣🤣🤣Hahah tutasubiri tuone team yako
Hahah siku hazigandiMi yangu takutajia tukifika robo finallly🤣🤣🤣
Achana na kiswahili sasa.... 🤣🤣🤣 Kushinda mda wote na madamu wetu wa english uja adapt jamn🤣🤣🤣Kiswahili tu ndo najua 🤣🤣🤣
Sijui yaniAchana na kiswahili sasa.... 🤣🤣🤣 Kushinda mda wote na madamu wetu wa english uja adapt jamn🤣🤣🤣
Finally you will see.... Najua wee team yako haitoboi 🤣🤣👆👆Hahah siku hazigandi
time wiil tell
🤣🤣🤣🤣🤣Mzembe wewe ... Itabidi ulipie akupe short coze ka zile za ras simbaSijui yani
kinanipiga chenga balaa