Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
what is kibundaUmeskiaaaa hiyoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"""" bila kibunda tutakula kwa macho""
na mtamla nani huyo🤣🤣
what is kibundaUmeskiaaaa hiyoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"""" bila kibunda tutakula kwa macho""
Ngoja tuoneeeeeeee!! 💪💪Na fujo hizo..🤣🤣🤣🤣🤣 hutoboi wewe🤣🤣🤣
Ushuani wapi ndgu yangu......😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Naiwahi hii... Ngoja niwahi miwani yangu sijui nimeiweka wapi tena khaaa🤔🤔🤔🤔🤔game saa moja kasoro ujue
huko ushuani Nini ?
Ngoja niweke kabisaLinaanza muda si mrefuuu..Get prepared 😝
Hahaha usikute O'bay hukoUshuani wapi ndgu yangu......😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Naiwahi hii... Ngoja niwahi miwani yangu sijui nimeiweka wapi tena khaaa🤔🤔🤔🤔🤔
Nishakaa standby hapaaaa kodooo😳😳😳😳🙇🙇🙇Ngoja niweke kabisa
Usimtishe madam wetu .Na fujo hizo..🤣🤣🤣🤣🤣 hutoboi wewe🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kibunda== pesa kuhusu kumla sijajua ila si umeona hizo ""__"""what is kibunda
na mtamla nani huyo🤣🤣
Si mtishi.. madamu wetu ana fujo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu ntamchukua niende nae kibanda umiza ajifunze kitu🤣🤣🤣Usimtishe madam wetu .
hakuna cha maana
Hahah mbebe uende nayeSi mtishi.. madamu wetu ana fujo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu ntamchukua niende nae kibanda umiza ajifunze kitu🤣🤣🤣
Weeee huko kuchorana sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani hapa mchawi miwani na nilivo msahaulifu😳😳😳Hahaha usikute O'bay huko
upo hapa unatuchora tu sie
itafute , mie ndo naweka sasa
iran keshafuliaaaa huyooo hana maaana;!😁Usimtishe madam wetu .
hakuna cha maana
mmmh una vifumbo wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kibunda== pesa kuhusu kumla sijajua ila si umeona hizo ""__""
Afu twende na jr ety🤣🤣🤣Hahah mbebe uende naye
kweli Hana jipyairan keshafuliaaaa huyooo hana maaana;!😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna vitu ufatilii ndo mana ujaelewa hapo 😜😜😜mmmh una vifumbo wewe
itakuwa ndo huko mujiniWeeee huko kuchorana sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani hapa mchawi miwani na nilivo msahaulifu😳😳😳
akili nzito🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna vitu ufatilii ndo mana ujaelewa hapo 😜😜😜
Nijifunze nini mie wee kilaza square,???Si mtishi.. madamu wetu ana fujo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu ntamchukua niende nae kibanda umiza ajifunze kitu🤣🤣🤣
Muombe kwanza Boss ladyAfu twende na jr ety🤣🤣🤣