Yes dearKwa sisi nywele kavu ni nzuri hii??
Wige akija atauliza bamia ina niniYes dear
ukitumia ina mosturize nywele na kufanya ziwe soft .
si unaona bamia ilivyo na ute ule mwingi.
Hahhaa๐๐๐Wige akija atauliza bamia ina nini
Mbayaaa ๐ฅฒ๐ฅฒHahhaa๐๐๐
habari ya leo ?
Nakubal man [emoji91][emoji91][emoji91][emoji97][emoji1702]View attachment 2423032
Pole dearMbayaaa ๐ฅฒ๐ฅฒ
Nimenyeshewa na mvua
Kamwamvuli kadogo mvua imenipata miguuni
Asante..Pole dear
ni Ile mwamvuli ya kuweka kwenye pochi
Penzi jipya limemnogea hqta anasahau kulog in๐คฃ๐คฃ๐คฃ yuko wapi sjui
Inatusave kidogoAsante..
Ndo vyenyewe vya kisistaa duu
Mbenjuo wa kawaida tu!Em tuone
Hatukuwepo
Penzi jipya halijawahi kumuacha mtu salamaPenzi jipya limemnogea hqta anasahau kulog in
Aiseee hakika ww ni mrembo wa ndoto ya kila mwanaume kuwa na mrembo kama ww kweli Poker anafaidiSina picha ya maana hata .. ona hii nilipiga
Nijazeee mamamaaa nijazeee wee nijazeee tyuuuu!๐๐๐Hips la Antonia og lile Mimi hata Sina bhna nanenepaga mashavu