π π π Hatuna kazi, unafikiri tunafanyake mzeee... Kuna wale wengine walikuwa na tako la nyani walikuwa wanapenda sana kukaa kule gizani, unawapata.. Wale nilikuwa nawaogopa wapo kama majini vile.. na ujasiri wangu nilikuwa nwanyaaa
Nawajua Sana; mpaka wale wenye kivits.
Kabla ya kuoa nimekaa mitaa iyo miaka 8. Kwaiyo gemu zangu za Arsnal na Simba; supu ya mchemsho kabla ya kwenda kuhangaika nilikuwa nazipatia hapo.
Ilibidi itumike extra force kuning'oa sinza. Sasa Nipo kibaha uku nimetulizana sitaki makuu.
Shanga ni moja ya chachu kwenye mapenzi, sikuwa nazipenda kabisa, paka kuna siku nilipokutana na mtoto mmoja kavaa shanga moja matata.. Kwisha habari yangu, nimejikuta mdada bila kashanga hata kamoja kama simuelewi vile