Selfika na JF: Snap it. Show it


Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi
 
Shanga ni moja ya chachu kwenye mapenzi, sikuwa nazipenda kabisa, paka kuna siku nilipokutana na mtoto mmoja kavaa shanga moja matata.. Kwisha habari yangu, nimejikuta mdada bila kashanga hata kamoja kama simuelewi vile
 
Niko poa sana Mkuu..

Actually i am so happy today..

There is nothing as great as when you do something at the end it made you realize the other side of yourself...

I am no longer the same feeling 🀩
Ooh that's wonderful , I'm happy for you dude .
It feels good, doesn't it?
 
Ewaaaa, kiuno nyigu ni hatari mwanawane, alafu awe anajua ku bend mmh! Ni hatari.. Mwanawane Mzee wa kupambania badae nasogea kitambaa cheupe.. kuangalia kiuno nyigu πŸ˜„πŸ˜„
Hahaha nimecheka Sana baada ya kusoma comment hi; ndo nakata simu ya mwanangu hapa ananiambia yuko njiani anaelekea kitambaa hapo kubambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…