Sipendi uwe mpweke kabisa bi mkubwa ndio maana naona una haki ya kuwa na mshua mpya ili hela zako zipumzike sasa. Nataka mtu akuspoil kabisa na hela na huyo mtu ni baba wa kambo National Anthem mkubalie basi bi mkubwa wangu Rumaiyaπππππ
Mtoto adabu ikushike..ada ninayokulipia haikutoshi?
Pole!Habari mbaya shangazi, nimekuota π
Tumekushindwa kidogo sasaππ€£π€£π€£π€£ kwani familia mmenishinda?
Kule kwnye fantasy hapiti eeeAaah! Siasa mie za nini.. Kuchoshana akili tu, huku maisha ya mtanzani ili yasonge hayana utaifa tena bali ni jitihada za mtu binafsi.. Kuna siku nimekaa napiga nae story ananitajia member wa jf ambao wamewaka moto, nikasema hata siawajui hao π π π π maana hata account sina
Achana na maneno ya kijana wangu kashiba polo anabeua beua tu ovyoπ’π’π’ Nimekaa pale, sikia atavyo nitupa kwenye πππ
[emoji4]thawaaaSubiria hadi nipokee pension ya Mama Samia next Month [emoji2957]
Tumempa mshenga wake amrudishie, Kijana hana adabu kwa Wazee wake.Mkipokea akiyanani mtamlipa.
Mpoleee which?? Since when πππππ..hapana..nabaki hapa kwenye rumaiya mpole mwenyewe
Sa itakuwaje ππTumekushindwa kidogo sasaπ
Yan tunamaanisha we canβt you anymore π
π π π akiona avatar hawezi amini kama ni mie, au ule uandishi pia hawezi amini kama ni mimi.. nikimaliza tumia jf huwa nafuta kila kitu.. Siku labda nijisahahu ku log out na kufuta hapo ndio itabidi niandae utetezi, ingawa nishapinga namuambia hiyo account ya kazi π€£π€£π€£Kule kwnye fantasy hapiti eee
Aone mtu wake alivyo na udugu wa shetani mwenyweπππ
Ukiwa unaperuzi mwnywe unakua umetulia mwnywe huna hata baya
ππππ Since 2019....najua unajuaaππππMpoleee which?? Since when π
Mtoto wako Poker mmbebe mgongoni ukamnyonyeshe umlaze kitandani..Achana na maneno ya kijana wangu kashiba polo anabeua beua tu ovyo
ββββNileteeee wawowajiiii
Bi mkubwa eeh mfungulie moyo wako basi National Anthem apate walau japo nafasi ya kufurahia maisha π€Nimbebe na uzee wake huo..atalala mwenyewe akiona haelewi
2019β tena hii ulikuwa mpole sanaππππ Since 2019....najua unajuaaππππ