Marhaba kijana wangu...diet nawaachia vijanaBi mkubwa wangu kipenzi shkamoo! Mbona mapema sana hivyoo hutaki kufanya diet? π
πππππKijana wangu hapa imetoka hiyo..hadi jioniNimemwambia afanye diet ila naona hazingatii saa 5 hii anakula chipsi hpo bdo sa 7 aje kula ugali na samaki π
Dingi kijanaView attachment 2420052
Kwa Salio hili sijui kama nitatoboa Mwisho wa Mwezi [emoji2957]
Hello Friday [emoji847]
π Siyo kweli bi mdashi π najua lazima saa saba ushushie ka ugali kidogo. Ndiyo maana wowowo linataka kupasua nguo π€£πππππKijana wangu hapa imetoka hiyo..hadi jioni
ππππ Kijana..unanikariri eeh..π Siyo kweli bi mdashi π najua lazima saa saba ushushie ka ugali kidogo. Ndiyo maana wowowo linataka kupasua nguo π€£
Alhamdulillah namshukuru Mungu hofu ilikuwa kwako ila baada ya kuona msosi mezani nishajua u bukheri wa afya. π Ndio umegoma kurudisha Yna2 π₯Ίππππ Kijana..unanikariri eeh..
mzima lakini?
Labda mie ndio chibaba, si unajua humu id π π π maana na mie namuonaga mwenzangu JF ila sijawai muuliza ID yake, mie kila akija kunicheki nikiwa naperuzi JF anakuta sija log in naperuzi kama guest user π€£π€£ salama yangu najua hapiti chit chat wala photo wala celebrity.. Ni mkaksi sana ππ yeye siasa na habari na hoja basiAahh kumbe una playlist za kibabe hiviπ
Za chibaba kabisaaaa vile vitu anavyopenda
Leta zingine bas kabla hujalala jobless mwenzanguππ
Vichips vinaonekana vitamu πππππNashiba Sana tu na kuvimbiwa kunakujaπ
Bi mkubwa wako anazeeka vibaya π πNimemwambia afanye diet ila naona hazingatii saa 5 hii anakula chipsi hpo bdo sa 7 aje kula ugali na samaki π
Mambo vipi?Utawavua sana mkuu
Hao samaki[emoji1787]
Nimeshamwambia namimi ila anasema vijana wa kileo tunawivu π€£Bi mkubwa wako anazeeka vibaya π π
Ibaidi uwe mda wa msosi unampitia bi mkubwaa, unaenda kula nae ππNimeshamwambia namimi ila anasema vijana wa kileo tunawivu π€£
Nikitembea nae road na ule msambwanda wake kila mtu ataanza niangalia ndio maana naogopa πIbaidi uwe mda wa msosi unampitia bi mkubwaa, unaenda kula nae ππ
π π π Unakwepa vita zisizo na ulazimaNikitembea nae road na ule msambwanda wake kila mtu ataanza niangalia ndio maana naogopa π
Asante sana shemeji wigeπππ
Asante sana mkuu kwako pia Mungu akuweke zaidMkuu Lovelovie kheri ya siku ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa.
Enjoy for the rememberance ila wakumbuke waliokuleta kama wapo .[emoji512][emoji512]
Sent using Jamii Forums mobile app