Uhakika ni tushaoana shostSijui kama niko sahihi
At least mpaka muwe mmefanya Mila Kama mahari na uchumba ... hapo umehalalisha kidogo... hayo mengine utaachwa tu siku isiyo na jina.
ππππππππππππ.. huyo future husband alicheza rafu sana dooohYeaaah
The shit happened to my ukoo Sis
Alipeleka mchumba kwa wazazi
Mchumba akatoa mpaka kishika uchumba
Na akaja disapiaa
Sahivi huyo Sis yuko busy na kazi zake
Naona kakoma mambo za wanaume
Hatari.Yeaaah
The shit happened to my ukoo Sis
Alipeleka mchumba kwa wazazi
Mchumba akatoa mpaka kishika uchumba
Na akaja disapiaa
Sahivi huyo Sis yuko busy na kazi zake
Naona kakoma mambo za wanaume
Yeah ,Mkuuπππππ Jamani.. "" i'm better off alone"" ππππ€π€
π€£π€£ sema wa Kanisani mtu unaweza tupiwa hata kajini aiseehahaha noma
watu wanaachwa kanisani ππ
Ulivyo Li zuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubutuuuuu
Hata uchumba waweza achwaa
Kuna wanaumeeeee [emoji119][emoji119][emoji119]
ππππSomo hilo sijui anaelewa mwenzako πππUhakika ni tushaoana shost
Japo wakati wa uchumba unapaswa kubehave as mke mtarajiwa, yan ile sio ndio dunia ishaharibika basi nawe uchukulie poa huo uchumba na kuendeleza chatting na ma Ex
Hapo akikubamba ni sekunde kakumwaga
umenena vyema dearUhakika ni tushaoana shost
Japo wakati wa uchumba unapaswa kubehave as mke mtarajiwa, yan ile sio ndio dunia ishaharibika basi nawe uchukulie poa huo uchumba na kuendeleza chatting na ma Ex
Hapo akikubamba ni sekunde kakumwaga
Wewe usemayo yana ukweli πππUlivyo Li zuri
Unaachwaje kwa mfano[emoji848]
NaWigelekelo... Kasema nikiendelea hivo wataandamana,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Unaenda na naniPopote tu Mkuu
Yaani inauma aisee ππ€£π€£ sema wa Kanisani mtu unaweza tupiwa hata kajini aisee
Hapo sasa ndo unapo alibu kusema mambo yasiyo ya msingi...π¬π¬π¬Yeah ,Mkuu
Tusiforce mambo yasiyo na msingi .
Wewe na yollyUnaenda na nani
ππππ Aiseeeee hatarii hiyoYaani inauma aisee π
mtu unahisi umefika kumbe ngoma haujielewi π
Acha kabisaππππππππππππ.. huyo future husband alicheza rafu sana doooh
Hahaha kwangu hayanaHapo sasa ndo unapo alibu kusema mambo yasiyo ya msingi...π¬π¬π¬
Wee unataka mali mkuu...?Na
Ukae kwa kutulia
Inabidi uiandae futureπ―Hahaha kwangu hayana
nimewachia wengine wayaendeleze.
Ni uchungu aiseeππππ Aiseeeee hatarii hiyo