Conscious mind vs subconscious mind.
Umewahi kujifunza gari,au baiskeli?
Siku ya kwanza wakati unajifunza unakuwa makini sana kufocus juu ya hiko unachojifunza. Makosa yanakuwa mengi ila hatimaye baada ya will kadhaa unakuwa umeshajua kuendesha gari. Sasa ile hali ya kuwasha gari na kukanyaga mafuta,kufunga breki bila kuangalia chini,kukadilia umbali wa gari lako na la mbele bila kugonga au kichina na Mambo mengine. Haya yalikuwa yanaji download kichwani kwenye akili ya nyuma unaitwa subconscious mind. Siku unapewa gari uendeshe linakuwa jambo jepesi kwa sababu lile file linafunguka Kisha ndiyo linaendesha gari(siyo wewe tena)
Sasa huu ni mfano tu. Ninachotaka kusema Ni kwamba,tunapojifunza mambo mapya,baada ya muda fulani linakuwa ni Jambo la mazoea na Kama Ni Jambo mbaya unajikuta linakuwa gumu kuliacha. Ni unajikuta heri usingejua hiko kitu maana kimeshakuwa na madhara kwako na huwezi tena kukiacha.
Coca,tuselfike ila hii michezo haifai mdogo wangu. Siyo faragha nzuri.
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app