Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushoga ni tabia au hali ya mtu pasipo kusababishwa na mtu mwingne. Unless muhusika aamue kwa makusudi au kuto kusudia. Ushoga kisa kuchovya kidole au kunyonywa kinyeo? Ni big no.

Mapenzi ni uchafuuuuuu, Dr ile ni faragha ndo maan yanafanyika sirini.
Hivi huu msimamo wa "ushoga mtu Hadi atake mwenyewe" Ni nani amekufundisha coca? Hii kitu imeabsove your mind,imekufanys umekuwa na msimamo wenye mtazamo hasi sana

Bila kufanyiwa brain rewiring,utawaumiza wanaume wengi ambao ni wanaume wasiokuwa na msimamo wa kiume my friend
 
Madawa ya kulevya na ushoga ni vitu viwili tofauti, hata utumizi wake ni tofauti, hata madhara n tofauti.

Ndo maana madawa ya kulevya ni haramu na yanapingwa wazi wazi na hukumu yake iko wazi.

Vipi kwenye ushoga? Km kuna somo unataka kunipa, nipe nijifunze, maana napenda kupokea maarifa mpya kila wakati.
Ipo hivi;
Binadamu ndiye kiumbe pekee hapa chini ya jua ambae ni dhaifu kuliko wote. Binadamu ana magonjwa ya ajabu ajabu kwa sababu anapingana Sana na mother nature

Kufanya kinyume na maumbile ni kupingana na nature. Rectum ni kwa ajili ya kinyesi tu na siyo kuingiza chochote

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Madawa ya kulevya na ushoga ni vitu viwili tofauti, hata utumizi wake ni tofauti, hata madhara n tofauti.

Ndo maana madawa ya kulevya ni haramu na yanapingwa wazi wazi na hukumu yake iko wazi.

Vipi kwenye ushoga? Km kuna somo unataka kunipa, nipe nijifunze, maana napenda kupokea maarifa mpya kila wakati.
Tukirudi kwa swali uliloniuliza mwanzo nami nikakuuliza habari ya madawa ya kulevya,Kuna mambo mawili

1. sababu za kimaumbile za kwa Nini mtu anakuwa shoga.
Kuzaliwa akiwa na homoni ya kike oestrogen ijiwa imezidi badala ya homoni ya kiume ambayo inaitwa testosterone homone. Mtoto wa kiume akizaliwa na Hali hii inapelekea kumanifest feminine behaviors,na hata mwonekano wake unakuwa wa kidemu demu!! HAPA NDIPO ULIPO MTAZAMO WAKO ambao nakubaliana na wewe.

2.Nilikuuliza swali la watumia madawa ya kulevya unakumbuka? Wahanga wakubwa wa madawa ukiwauliza ulianzaje kutumia madawa watakujibu nilianza kujaribu wakati nawaona mabroo wanatumia,hatimaye nikajikuta nimeshazoea. Refer case ya Ray C na Lord Eyez. Unajenga tabia Kisha tabia inakujenga.

Unapomfanyia mwanaume michezo ya kunyonya kinyeo mwanzo anaweza kuona Ni kitendo kinachompa Raha tu. Kadili siku zinavyoenda huyu mwanaume anajikuta si tu kufanyiwa huo mchezo Bali pia ili afurahie tendo la ndoa vizuri basi inabidi umtie vidole. Na pia ili mashine isimame vizuri basi inabidi apate buster ya kutiwa vidole huko kwenye rectum. Sasa huyu mtu ambae anafanyiwa hii michezo Kuna uwezekano mkubwa wa kumaliza mwendo Kama mwanaume. Ndiyo hao wanaume wenu wananunua dildos kwa Siri,wakiwa wenyewe wanafanya kuwa ndiyo uume wanaingiza huko kunako,Kumbe mlishawaharibu kitambo.

Habari mbaya Ni kwamba,binadamu anaongozwa 95%na subconscious mind. Yaani namaanisha hivi;unapomfanyia mwanaume huo mchezo, subconscious mind inadownload hilo file na kulisave(Nitakuelezea vizuri hapa unielewe).

Nyongeza; Kuna vyakula havifai kuliwa na mwanume
Mfano pizza,Baga ,chipsi mayai and the like. 'Food industry' ni silaha moja wapo ya kumdhoofisha mwanaume hapa duniani. Blue band,maziwa ya kopo/unga navyo siyo chakula Bali ni bidhaa.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Madawa ya kulevya na ushoga ni vitu viwili tofauti, hata utumizi wake ni tofauti, hata madhara n tofauti.

Ndo maana madawa ya kulevya ni haramu na yanapingwa wazi wazi na hukumu yake iko wazi.

Vipi kwenye ushoga? Km kuna somo unataka kunipa, nipe nijifunze, maana napenda kupokea maarifa mpya kila wakati.
Conscious mind vs subconscious mind.

Umewahi kujifunza gari,au baiskeli?

Siku ya kwanza wakati unajifunza unakuwa makini sana kufocus juu ya hiko unachojifunza. Makosa yanakuwa mengi ila hatimaye baada ya wiki kadhaa unakuwa umeshajua kuendesha gari. Sasa ile hali ya kuwasha gari na kukanyaga mafuta,kufunga breki bila kuangalia chini,kukadilia umbali wa gari lako na la mbele bila kugonga au kichuna na Mambo mengine. Haya yalikuwa yanaji download kichwani kwenye akili ya nyuma inaitwa subconscious mind kipindi kile unajifunza. Siku unapewa gari uendeshe linakuwa jambo jepesi kwa sababu lile file linafunguka Kisha ndiyo linaendesha gari(siyo wewe tena)

Sasa huu ni mfano tu. Ninachotaka kusema Ni kwamba,tunapojifunza mambo mapya,baada ya muda fulani linakuwa ni Jambo la mazoea na Kama Ni Jambo mbaya unajikuta linakuwa gumu kuliacha. Ni unajikuta heri usingejua hiko kitu maana kimeshakuwa na madhara kwako na huwezi tena kukiacha.

Coca,tuselfike ila hii michezo haifai mdogo wangu. Siyo faragha nzuri.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom