Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Aaaahhh we hutaweza wewe pambana tu kawaidaMasharti mepesi au magumu 🙄🙄
Aaaahhh we hutaweza wewe pambana tu kawaidaMasharti mepesi au magumu 🙄🙄
Wewe utapata pia aftatu nyingi tu,ila tukikesha nitakutunza kuanzia moyo hadi kucha.Weee si atakufurahia
Ila na mimi niliyetoa kampany aftatu yangu inanihusu

Usiombe kupatwa na cocastic 😁😁cocastic Ni gaidi Kama ashura wa tabata tu.
Akafu umeiona avatar aliyoiweka leo? Balaa zito!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tulia wewe unavyohangaikaga na watoto wazuri huko kwa mahoteli mbona sisemi😒😒tulia dawa ikuingieDah! Wenye wababa wenu.. Wababa wanafaidi sana, mama na baba walinuhujumu sana kuchelewa kunizaa 😭😭
Kawaida ndio siwezi sasa yani dah 😢😢Aaaahhh we hutaweza wewe pambana tu kawaida
🤸🤸🤸🤸🤸Nadhani nilishasema mkae attention View attachment 2417570
Dada yangu🤸🤸🤸🤸🤸
Mala moja tu kwenye kihotel 😢😢 tena nilienda weka tu bulb tuuuTulia wewe unavyohangaikaga na watoto wazuri huko kwa mahoteli mbona sisemi😒😒tulia dawa ikuingie
Hivi ni maramba mawili eeh,nakuja leo nikitoka job.Hips sina, nimenyooka kama rula mie
Karibu nyumbani anytime, hata leo jioni ukuje
Mpeleke movie kwanza hapo mliman masharti mengine ntakupa badaeKawaida ndio siwezi sasa yani dah 😢😢
😂😂😂 tulia kwanzaaaaDada yangu
Hapo umeruka nazo ngapi eti?😆
Sema kweliWewe utapata pia aftatu nyingi tu,ila tukikesha nitakutunza kuanzia moyo hadi kucha.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kumbe uko happily married lakini kutulia we ndio huwezagiMala moja tu kwenye kihotel 😢😢 tena nilienda weka tu bulb tuuuView attachment 2417573
😅😅😅 Sijui hata yaniKumbe uko happily married lakini kutulia we ndio huwezagi
Yeah hapo hapo, ukishuka ulizia kwenye kiduka cha mpemba ndio nipo hapo nyumaHivi ni maramba mawili eeh,nakuja leo nikitoka job.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
cocastic kama huna pumzi anakuua 😅😅cocastic Ni gaidi Kama ashura wa tabata tu.
Alafu umeiona avatar aliyoiweka leo? Balaa zito!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Turudishie Mjep 😊😊Nimekosaaaaaa.
Tutashukuru 😅😅akirudi hapa mtasema nn??
Yan ni shwaaaaaaaaaaa😂😂😂 tulia kwanzaaaa