Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Aaahh utaweza masharti sasa maana ukikosea kidogo unaharibu mazima yaniiNipe dondooo mkurugenzi😊😊
Aaahh utaweza masharti sasa maana ukikosea kidogo unaharibu mazima yaniiNipe dondooo mkurugenzi😊😊
Wewe mbona Ni mrembo Sana eti!!Weee niringe![]()
Mkamateni tu cocastic ana mrudisha 😂😂Nimepita humu nimeona hizo taarifa zikizagaa humu.
Tuanze petition ya bring back Mjep Kama vipi mkuu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mbona huku nishtue dah! Nilikuwepo mbona na wale wadada wa jakidanieli nilikuwa nasaidia tangaza tangaza na kupiga picha 🙄🙄Nishaangalia since 11/11 kaka mkubwa
Usisahau miwani pale dirishani na popukoniiiii za mdogo wetu asiboeke
Masharti mepesi au magumu 🙄🙄Aaahh utaweza masharti sasa maana ukikosea kidogo unaharibu mazima yanii
Nami ni pisi kali kumbe🥰🥰Wewe mbona Ni mrembo Sana eti!!
Mimi binafsi nakuweka kwenye top 5 ya wadada warembo niliowahi kuwaona humu ndani.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Imekwendaaa hiyo
Niko bichiii nakula upepo wa baharii
Beach ya wapi nije nikae pembeni yako 🙄🙄🙄Niko bichiii nakula upepo wa baharii
Naumwagilia moyoo mzikk kwa mbali
Beach ya wapi nije nikae pembeni yako 🙄🙄🙄
Akinikubalia lazima nimtunze af tatu kwa kweli.Na mama alivyo mpole sidhani kama atakukatalia, em ukija jaribu kumuomba
Wimbo wangu wa mwezi😊😊😊Naimba huo wimbo
Au hata mistari huijui?
Eeh kijana wangu huyooo😍..Haya nipo attention mie
cocastic Ni gaidi Kama ashura wa tabata tu.
Weee si atakufurahia
Hhehhehe sasa niko na chibaba nguvu ya kukushtua natoa wapiMbona huku nishtue dah! Nilikuwepo mbona na wale wadada wa jakidanieli nilikuwa nasaidia tangaza tangaza na kupiga picha 🙄🙄
Dah! Wenye wababa wenu.. Wababa wanafaidi sana, mama na baba walinuhujumu sana kuchelewa kunizaa 😭😭Hhehhehe sasa niko na chibaba nguvu ya kukushtua natoa wapi
Au unataka anikomeshe kama walivyo mkomesha K’uk’ulkan😆😆😆