Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeee hebu nipashe shougaaangu ndio nini hivoo??πŸ€”πŸ€”Kumbe sie twakumiss selfika mtu upo vacay unakula mausha shosss vibaya hivoo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚!! This is Jf banaaa😁😁
 
Kutokujielewa tu af tabia za kufatiliana maisha ni ushamba na uswahili
Humu watu wapo kujifunza na kuenjoy
Siachi kuwafatilia 🀣🀣

Tena nikiona tu unachekeana na mtu me, tayari anakuwa bwanako.. nakutia kwenye list πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu naanza zungukia pm za watu kuwapa ka ubuyu 🀣🀣🀣

Ghaiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…