Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ukitaka kuwajua vizuri filisika alafu yeye awe amebahatika kupata pesa, nakwambia nyumba utaiona ni jehanamu.
 
Well said sis πŸ₯°
kazi ya kudeka ni ya ke na sio me .
inahitajika mtu upendwe hadi usemee poo

baba ni kichwa cha familia , he must provide ,proffess and protect his family
 
Tuwache na maumivu yetu, tutameza dawa yataisha.
Yakizidi tutamuona daktariii 🀣
 
Well said sis πŸ₯°
kazi ya kudeka ni ya ke na sio me .
inahitajika mtu upendwe hadi usemee poo

baba ni kichwa cha familia , he must provide ,proffess and protect his family
WaletrreeeeeeeeeeeeeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ!! mjomba tuwachee puliiiiizzzzzz 🀣🀣🀣
 
Nakwambia leo Depal Lenie Tinsley na Antonnia kuanzia sa 12 asubuhi wanatushambulia na kufarijiana kuwa wao ni majeuri na kwamba hatuwababaishi. Mbaya zaidi wanawasifia matolu dark and handsome kwahyo wanaume weupe wamewakosea nini πŸ₯Ί
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kila mtu na flavor zake, relax.. wapo wanaopenda white guys
 
Nakwambia leo Depal Lenie Tinsley na Antonnia kuanzia sa 12 asubuhi wanatushambulia na kufarijiana kuwa wao ni majeuri na kwamba hatuwababaishi. Mbaya zaidi wanawasifia matolu dark and handsome kwahyo wanaume weupe wamewakosea nini πŸ₯Ί
Ni story kama story nyingine Hatumsemi mtu tasavaliii...😁😁😁! Haya hebu selfika kwanza kunogesha storeeee
 
Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!!
Upendo kwanza mengine baadaye .
Pesa sio muhimu , mtu asikutese kisa pesa zake .
yah hawaelewi hao wanahisi kila ke yupo after money tu .
 
Hahahaha nicheke mie πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri wanawake hamtupi taabu. Maana baada ya wiki tu utaanza kusikia nilijua mtu kumbe kunguni mara riziki hamuwezi kuiziba ila mtaichelewesha. πŸ˜‚πŸ˜‚ Mara paap wanawake hatupendani πŸ˜‚ hapo kwa sisi malegend tunajua mtu kashaibiwa bwana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwavile ndio 1st time wacha tumsamehe
Akirudia kijini kinamhusu, kiandae kabisa. Akizingua tu tunamtupia kabla hatujamuonea huruma
πŸ˜‚πŸ˜‚ kabisaaa

As we delete kabla hatujakumbuka utraaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…