πππ ni huzuniiishida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana
arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
Ndio awe sasa na hizo helaHahhaa mkirudi Ngoma pale pale ππ
akununulie your dream car je ?
Can you imagine kauliza "Ipi tena"Ile nilikupatia jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saiv hakuna kitu kitanichanganya kwa mahusiano.Pole aisee [emoji23]
mahusiano ni pasua kichwa
kizazi kigumu , pesa hakuna , mapenzi yanasumbua
Aisee chapombe hawafai , ni kukwepa tu mdomo wake hapo .Ile harufu ya chapombe ukute anataka kukubusuuuu uwiiiiiπππππππ! Mwanaume chapombe ππππππ!!
Naonaga Wengine wanafujooo ni mingumi tyuuu uwiii
Ile nilikuachia mkononi π€£Can you imagine kauliza "Ipi tena"
Watu wanajisahau kirahisi eeh
HahahaaaaIle harufu ya chapombe ukute anataka kukubusuuuu uwiiiiiπππππππ! Mwanaume chapombe ππππππ!!
Naonaga Wengine wanafujooo ni mingumi tyuuu uwiii
Akija tall dark & handsome, afu kaleviiiiAisee chapombe hawafai , ni kukwepa tu mdomo wake hapo .
Bado hapo harufu ya mikojo chooni , shida sana .
wengi wanapiga sana wake zao , pombe ni shetani aisee , inavuruga na kuharibu ndoa
π€£π€£π€£π€£Ile nilikuachia mkononi π€£
Ajiandae ππNdio awe sasa na hizo hela
Ila nitamblack mail hadi atafurahi
Awe moderate drinker at least .Akija tall dark & handsome, afu kaleviiii
Unakatosa? π
ππππ kweli kabisaIla wanaume ambao hawana pesa nyingi wapo na true love.
Wapo ambao wamepauka ila ndio pasua kichwa balaa.Ajiandae ππ
Hapo kazi kwake
Ila wanaume ambao hawana pesa nyingi wapo na true love.
Anakuacha mdomo waziππππ kweli kabisa
Lakini nao wakija zipata wanabadilika
huyo akikusumbua , unamuacha tuWapo ambao wamepauka ila ndio pasua kichwa balaa.
Kuna wanaume wako njema na wana true love.
Hawatabiriki hata
Yes, their nature.huyo akikusumbua , unamuacha tu
Men are super weird
huwezi waelewa hata , I guess it's nature.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ!!! Ofcoz pesa inaleta jeuri fulani hivi iwe kwa mwanamke au mwanaume!!Ajiandae ππ
Hapo kazi kwake
Ila wanaume ambao hawana pesa nyingi wapo na true love.
Sina helaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ!!! Ofcoz pesa inaleta jeuri fulani hivi iwe kwa mwanamke au mwanaume!!