[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki me ningemrushia kiatu huyo aliyenitambulisha kama house girl
Mimi si house girl , nawaacha hapo , tutakutana nyumbaniMamaeeee!! Kama ni wewe unafanyeje hapoπ€£π€£πππ???
Nilitambulishwaaa n binamu yake, tulipotoka hapo eneo, nkamuambia haya binamu kawasalimie shangazi na mjomba, toka hapo had leo imebaki story.Ndio kamtambulisha hivyo ?
hapo kuna kuvumilia jamani
Eti jamani, mtu ambaye hamheshimu mkewe huyo hafai kwenye jamii.Hapana aisee
Hiyo dharau ni kubwa sana ππ
ππππππWanawake mpo milion 31 acheni ujingaaa tafuten bwana hukuu
π€£π€£π€£π€£Nilitambulishwaaa n binamu yake, tulipotoka hapo eneo, nkamuambia haya binamu kawasalimie shangazi na mjomba, toka hapo had leo imebaki story.
Sitaki unafiki na kufake kwenye mahusiano, siweziiiiiiiiii.
Mtext.. mwambie samahani naomba ile Pesaπ€£Kuna saa nilishika simu nipige nikajiskia kujicheka nikarudisha simu.
Au nimpigie saivi, kweli nina shida hela yangu naitaka π€£π€£
Hapo hasira zimekujaa sanaAki me ningemrushia kiatu huyo aliyenitambulisha kama house girl
Ndio, tutayamaliza huko nyumbani ila nitamuonyesha tu sijapenda aiseeHapo hasira zimekujaa sana
una haki ya kufanya lolote e
Matukio ni mengi mtaaniπ€£π€£π€£π€£
Huyo kijana jaman hafiki mbinguni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza njia ya mbinguni hawezi iona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo kijana jaman hafiki mbinguni
Akiuliza pesa gani, nimjibu vipi?Mtext.. mwambie samahani naomba ile Pesaπ€£
Labda akupeleke Vacation Bali hukoHapana aisee
Hiyo dharau ni kubwa sana ππ
Ile nilikupatia janaAkiuliza pesa gani, nimjibu vipi?
Weeee akinipeleka namsamehe kwa muda π€£π€£π€£π€£Labda akupeleke Vacation Bali huko
Yeah lazima umuonyeshe aiseeNdio, tutayamaliza huko nyumbani ila nitamuonyesha tu sijapenda aisee
Hizo dharau sio
Eeeh ndio aache utapeli, namtext hapaIle nilikupatia jana
Hahhaa mkirudi Ngoma pale pale ππWeeee akinipeleka namsamehe kwa muda π€£π€£π€£π€£
Ile harufu ya chapombe ukute anataka kukubusuuuu uwiiiiiπππππππ! Mwanaume chapombe ππππππ!!shida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana
arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
Pole aisee πNilitambulishwaaa n binamu yake, tulipotoka hapo eneo, nkamuambia haya binamu kawasalimie shangazi na mjomba, toka hapo had leo imebaki story.
Sitaki unafiki na kufake kwenye mahusiano, siweziiiiiiiiii.