Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwamba miaka yote hio humpi hio peace of mind tu asikufikilie kabisa!!🀣🀣🀣?
Eti jamani ? Hapo si mtu utakuwa shindikanaa wa kimataifa πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo mtoto wa mtu tena anashindwa kukuweka ndani.

Ten yrs mbali, hapo tu 5yrs ni mzikii mzito kufika mkiwa mnahave fun,, labda iwe alikuweka ndani ukashindwa kuprovide peace of mind πŸ˜‚
 
Kwahio Hapo kwa peace of mind ni mwanamke pekee ndio ana hilo jukumu au kwa Asilimia kubwa hebu nipashe miee wanaume wenyewe wa kubembelezaaπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mhh labda kwako unaweza..

The point of having fun, no strings attached mwisho mwaka 1 tu. Mkizidi sanaaa, yan mkanogeana sana basi msizidishe mi3

10yrs umeshikiliwaga tu na mtu ambaye hana future? Haha hapana aisee
Unazeekea hapo hapo aisee
una miaka 28 uje utoke na mtu 10 years ukishtuka upo na 38 unakariabia kuanza menopause.
labda muwe mezaa
 
Kwahio Hapo kwa peace of mind ni mwanamke pekee ndio ana hilo jukumu au kwa Asilimia kubwa hebu nipashe miee wanaume wenyewe wa kubembelezaaπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Ujenzi wa mahusiano/ ndoa hizo stability pasee kubwa inaangukia kwa mwanamke..

Wanasema mwanaume nj kama mtoto, eti tuwalee πŸ˜‚
 
Unazeekea hapo hapo aisee
una miaka 28 uje utoke na mtu 10 years ukishtuka upo na 38 unakariabia kuanza menopause.
labda muwe mezaa
Eti jamani? 10yrs having fun na mtu inatakiwa uwe umejikataa kweli kweli..
Au ndio uwe kama wale wasio na mpango wa kuzaa na kuolewa.

Yeye tu yuko duniani kula zake rahaa
 
Ujenzi wa mahusiano/ ndoa hizo stability pasee kubwa inaangukia kwa mwanamke..

Wanasema mwanaume nj kama mtoto, eti tuwalee πŸ˜‚
Ndio ndiooooooooo kumbe!!!! Ngoja nishikilie sweetdaddie Wangu miee aweeeeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ!!!
Hizi busara mdogo wangu si umpatie mtu peace of mind jamaneee umeongea pointtt nimeipenda hiii😍!!
 
Eti jamani? 10yrs having fun na mtu inatakiwa uwe umejikataa kweli kweli..
Au ndio uwe kama wale wasio na mpango wa kuzaa na kuolewa.

Yeye tu yuko duniani kula zake rahaa
Hapana aisee hata hivyo utamkimbia tu .. ukicheki wenzako getting kids , married pia , unatamani mwenyewe .

Kuna watu hawana mipango ya kuzaa hataa hapo ndo utaona Raha ya dating for fun .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…