Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Hapana,Yote hii ni umuumize Wigelekelo , National Anthem hebu muulize huyu mtoto anamaanisha?
Hebu mshauri basi huyu mtoto, bahati haiji mara mbili..🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Pilot Mbavu zangu hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mwehuuuuuu🤣🤣🤣🤣!
Shangaaa nawewe ! wewe Saint Anne ndie wa kumbadilisha mchumba adamshi unavotaka wewe sasa!!
Ukojee
( in Wiges voice)
hahaha hapana chezea formulaHuyo hajui formula ya kudate na mume wa mtu huyooo!!!
Hakuna shobo za text wala call mpaka yeye akuanzeee! Wivu wa kijinga hakunaaaa.. Just mind your own fcking business kitulizeeee kama maji ya mtungii🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️ 😁😁😁🤣🤣🤣🤣😂😂😂!!
Eeeeh Si ulipenda bogaa!!😁😁😃
😀😀😀 ana mvuta Wigelekelo kwa kasi ya 5G.. anautingisha moyo ili mzee Wigelekelo akolee zaidiYote hii ni umuumize Wigelekelo , National Anthem hebu muulize huyu mtoto anamaanisha?
Mie mzima mambo?screenshot mkuu hiyo
vipi habari yako
Kwa kweli tumemiss Kapo,Best couple in townTuliaaaaaaaa
tupo kwa Wigeeee hapa miongozo akafie kwa vichomi wakee sitaki hekaheka miee!
Kwa wige huchomoiiiiii wee jichetue tyuuuNataka Pilot anibadilishe toka kwenye Vitenge
Tupae na juu mawinguni..kwake sijiwezi.
Inahitaji moyo wa chumahahaha hapana chezea formula
ukiambiwa utulie inabidi mpaka akutafute .
Mie nina wivu ,siwezi kabisa mambo hayo
Ila inabidi na wewe uwe na baby wako pembeni akya nani inauma
Mme wa mtu hapana aisee🙌😂😂😂😂😂
Sasa anahangaika na mume wa mtu jamani
Ujue bahati haiji mara 2 Captain..Hebu mshauri basi huyu mtoto, bahati haiji mara mbili..
Yeah aisee usiwe umempendaInahitaji moyo wa chuma
Kwanza nafsi inakuhukumuMme wa mtu hapana aisee
Nitajisikia vibaya au wivu utanizidi
Ewaaa hapo sawaYeah aisee usiwe umempenda
uwe tu kwa ajili ya kitu fulani.
Mimi Pilot akisema tu Yes basi nipo tayari hata kunywa bia tukarushe ndege mawinguni Bukoba.Kwa wige huchomoiiiiii wee jichetue tyuuu
Yeah sio poa kabisaKwanza nafsi inakuhukumu
Jamani,kabisa unajua mtu ana familia halafu unajisogeza🙄
Best kapo my foot Hebu wapeleke kisonono zao hukoooo sitaki hekaheka miee!!
Kwa hio wige vipi?Nataka Pilot anibadilishe toka kwenye Vitenge
Tupae na juu mawinguni..kwake sijiwezi.
poa tuMie mzima mambo?
Umetengeneza vzuri kweli saintNachanja mbuga
Mikono inavyouma🙌🙌🙌
Sie Leo siku ya nne au ya tano inanyeshaLol hongereni na polenii sis... Huku leo naona imetusamehe walau nguo zikauke!