Hapana kwa ile picha nakumbuka ni mrefuππππ
Kafupi nyundo ila keusi tiii
Watu mlio single mna kelele sanaAmkeni basi jaman
Tukutane kwa mkapa[emoji881][emoji881][emoji460][emoji460] tukutane movie theater [emoji440][emoji440]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeamshwa na morning kiss siwez tena kuwa singleWatu mlio single mna kelele sana
Love is on the air π.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeamshwa na morning kiss siwez tena kuwa single
Poa Shemeji ujamboLove is on the air [emoji170].
Mambo Rafiki ..
Sijambo Shem vipi wewe ?Poa Shemeji ujambo
Nzuri sana njoo na Poker twendeniSijambo Shem vipi wewe ?
habari ya sabato
ππMume wangu yupi wakati ndio kwanza Nina Mchumba huyo π
Hatuna cha kuwaza ndo maana ππWatu mlio single mna kelele sana
SawasawaMungu awabariki wanaume weusi
Weupe mpambane na hali zenu π
Na browns skin wako katikati ya Baraka na kupambana auMungu awabariki wanaume weusi
Weupe mpambane na hali zenu π
Kwan ww msabato shemejiNipe location
au mje mnipitie .
Nasali jumapili na jumamosi Shem .Kwan ww msabato shemeji
Huna msimamo embu endelea na Poker wako tu shemejiNasali jumapili na jumamosi Shem .
Mungu ni wetu sote [emoji7][emoji7].
Haya shemeji baadae nitakuombea ww na mpenzi wako Poker mzidi kudumisha penzi lenu mungu awabariki nitafunga kwa ajili yenuHahaha uniache [emoji23][emoji23]
kwetu ni wasabato so hata Kama nasali jumapili .. bado nipo usabatoni.