Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221108_134707.jpg
 
Madam, Dar Kuna joto Sana. Kwa hiyo Mimi siyo mzima Sana wa afya. Joto kimeniketea vipele.
Na hata huonekani kama kichwa yako unaweza kuifanya ngumu😆😆

Pole aise..lakini maji ya kuoga si yanapatikana?au hata maji ua kuosha vipele ni changamoto 🤣🤣

Mapema San nitakuwa huko ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia
 
Back
Top Bottom