Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio unaniachia mjomba wako me ananivuruga kichwa hapa.
Mbebe uende naye umuache hata nje ya darasa hapo akusubirie, huku atoke kwa muda hadi akikaa sawa🤣🤣🤣
Hakiii nikiendelea kukaa hapa ntaharibikaa na nina kipindi mambo bustani bustani na maji mara kutu na grease zenu nahuyo mjomba😁😁😁😁! Mjomba nakuacha naye anataka aone bustani mfanyie wepesi mjomba wangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣!!
 
Lodge ya tegeta pale
5CE7AD14-B347-4B5A-BF22-7DA14D4C29B4.jpeg
 
Hakiii nikiendelea kukaa hapa ntaharibikaa na bustani na maji mara kutu na grease zenu nahuyo mjomba😁😁😁😁! Mjomba nakuacha naye anataka aone bustani mfanyie wepesi mjomba wangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣!!
Anataka aone bustani waliopalilia wengine hadi imenawiriii, akuuu

Atafute kieneo chake aanze kukitengeneza na kumwagilia maji hadi pawe bustani watu wakipita watamani kupiga selfie hapo kwa jinsi panavyovutia na kunukia🤣🤣🤣
 
Hakiii nikiendelea kukaa hapa ntaharibikaa na nina kipindi mambo bustani bustani na maji mara kutu na grease zenu nahuyo mjomba😁😁😁😁! Mjomba nakuacha naye anataka aone bustani mfanyie wepesi mjomba wangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🤣🤣🤣🤣!!
Utaharibikaa au bombaa litaanza mwaga maji hadi unamaliza pindi inabidi ubadilishe koki 😅😅😅
 
Back
Top Bottom