ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,641
- 127,331
Kila ijumaa na jumapili. Jihadhari na maradhi yanayosababishwa na ulaji nyama kupindukia though [emoji3]Huwezi amini sikuwahi pajua kuna siku kwenye group wanapazungumzia nawauliza ni wapi[emoji3][emoji3]
Nilipita last week jumapili nikaona tu nyomi nikaonyeshwa ni pale.
this weekend nikija Dar nitaenda.
Huwa ni kila jumapili? au?