kha Madam 😂😂Focusssssss dear unaniangushaaaaa🤗🤗😁 usiku huu unapataje muda wa kushika simu na uko na mtu banaaa!! Haya ngoja mi nimwamshe Junia akojoe tulale sasa nawe utoke online!!
See you tomorrow kipenzi 😘😘😘😘😘😘😘
Yale mahindi nimechoma mpaka yameungua mwenzio[emoji3][emoji3][emoji3]
Mtaachana tuTunapendana sana hilo lipo wazi kila mtu anajua humu!.wasikusumbue kabisa[emoji4]
🤣🤣🤣🤣🤣 Nikahis dinner date kipenzi 😁😁😁😁 khakhakhaaaa!!kha Madam 😂
sipo nae jamani
Just some few kilometers away. ...
muamshe toto huyo 😍😍
Niombee kheri dear 😍😍🤣🤣🤣🤣🤣 Nikahis dinner date kipenzi 😁😁😁😁 khakhakhaaaa!!
Amen amem dear! All the bests kipenzi Mungu ajaalie kila lenye kheri mfike mbali mfikie malengo!!Niombee kheri dear 😍😍
bado kwanza ndo tupo mwanzoni kabisa .
Amen , thank you 😊🥰🥰❤️Amen amem dear! All the bests kipenzi Mungu ajaalie kila lenye kheri mfike mbali mfikie malengo!!
Kabisaaa maisha ndio hayahaya!! Enjoy to the fullest!!Amen , thank you 😊🥰🥰❤️
ubarikiwe ..
nisahau ya kale , nigange mapya .
Upo sahihi kabisaKabisaaa maisha ndio hayahaya!! Enjoy to the fullest!!
Exactly dearUpo sahihi kabisa
tuenjoy kabisa , we only live once.
kwenye kope ndo wanawekaYale ya kupaka kwenye nyusi??
Hata Bure sitaki...yananitoa machozii
Hayohayokwenye kope ndo wanaweka
Wala hunipi tabu rafikiNa hivi umeonyesha dalili za kunitaka sahau kabisa kuniona
Wewe neng'eneka tuBora umekuja
Kuna kasukuma kashamba kananisumbua[emoji23]
Kelele za chura[emoji1787]Mimi wewe Mimi ntakufa na wewe.
Nakupenda nakupenda nitazidi kukupenda
Ntakufata pale pote we utapokwenda.
[emoji1787]Ngoja kale kasukuma kaje kaone.
Kalivyo kashamba ukute hakaelewi kiswahili
kweli sio mchezo aiseeHayohayo
Yananitoa machozi
Vingine vinipitekweli sio mchezo aisee
Mpenzi wanguOna Hilo jichooo[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Eeh[emoji849]jicho on point ....umedamshi shosti [emoji7][emoji7]