Mimi Kuna manguo nimeshona kama bibi harusi vile🤣
Kisa tu mtoto wa mtu alisema anapenda nguo ndefu..
Na nashukuru Mungu amenielewa kama nataka nguo ndefu maana kuvaa fupi hata sipendezi.
Mimi Kuna manguo nimeshona kama bibi harusi vile🤣
Kisa tu mtoto wa mtu alisema anapenda nguo ndefu..
Na nashukuru Mungu amenielewa kama nataka nguo ndefu maana kuvaa fupi hata sipendezi.
Walipigwa biti balaa!! Hivi vitoto vya mwaka huu ni vihuni kweliii ....tukavibana kumbe vina chemba yao huko msituni viko team mtu 17 ..
Chemba ina masufuria hukohuko unga Michele mafuta bange pombe midamida vinatoroka shule vinazama chemba kupikaa nakufanya yao..Sasa ile juzi kubananishwa baadhi wakataja chemba ilipo tukavamia wengine wakakimbia kakabaki kamoja kako njwiiiii hakawezi hata kukimbia kamelewaaa form 1 imagine!