Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
BLUkimpea Wigelekelo hutahitaji hayo ma scrub!! Utalainishwa ngozi naturariiii au nasema uongo msukuma wige???[emoji848][emoji848][emoji6][emoji6]
Bajeti yanini msukuma naweee ukimkandamizia kila siku atakua softii balaaa;! Si juzi alithibitisha hilo mwenyewe ndio afanye wepesi umsoftishe banaa!!Ndio umenijuza mpenzi
Hili pia nitaliweka kwenye bajeti ya siku
Maisha ndo haya hayaNimechoka kusuka nataka kichwa kipumue kwanza! Nina tano kichwa hapa nikuonese ucheke?? 😁😁😀Afu naenda nazo kazini sijare wala neneee
Mnaelewana sana mkuu yani damu zimeendana ebu fanya kuselfika akuone tumpindue Carrasco putin kwanza hana hela.
J5 nitakuwa hapoNa utawehuka kweli siku ukimuona kamanda
Nzuriiiah wapi
naonaga la watu weupe .
hahaha,siku nyingine,leo niwatakie siku njema.gud week endMnaelewana sana mkuu yani damu zimeendana ebu fanya kuselfika akuone tumpindue Carrasco putin kwanza hana hela.
Kama kawaida nitakuwa kanisani na kulisha kuku wangu nyumbaniJ5 nitakuwa hapo
Kama kawaida nitakuwa kanisani na kulisha kuku wangu nyumbaniJ5 nitakuwa hapo
Anajitoa Ufahamu tu Anne anakuelewa kinomaa!! Wee mkomalie ivoivo one day yes 😁😁😁BL
Mungu akubariki sana
Ujue huyu binti hajatambua kwamba
Utamu wa pipi ni mate
Uwe unampa darasa kama hivi
Mtongozehahah namtoaje sasa [emoji23][emoji23]
Sina nilijualo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Legeaaa legeaaaa in Wigelekelo name!!!😂😂Naona amekuambukiza mapepo 😂
Dunia duaraAlafu dizaini wameelewana sana cjui itakuwaje kwa ndugu yangu Carrasco putin
Nitakapokiangalia kimebaki na kazi moja tu ya kupunguza maji mwilini nitahuzunika sana🥱[emoji24]Hakika mkuu,
Najiuliza tu uzee ukishika hatamu itakuwaje...hakuna kitu kibaya kama kuzeeka(achana na maneno kwamba uzee ni dawa)
Kumbe hiko ndio kichimba kisima babu!! !!??? Lol nilikua sijuiiiView attachment 2407633
Kwa mgao huu wa Maji wa Dawasa Wacha tujihami Kwa kujichimbia Visima tu 🤪
Hello weekend 🥂
yeah ni nzuriNzurii
Ndio bajeti yenyewe BLBajeti yanini msukuma naweee ukimkandamizia kila siku atakua softii balaaa;! Si juzi alithibitisha hilo mwenyewe ndio afanye wepesi umsoftishe banaa!!
Naanzaje kumuacha mchumba Jack Palladino🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Legeaaa legeaaaa in Wigelekelo name!!!😂😂