Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohoo

Kujikoboa tena
 
bado nipo nazilia time kwanza
Mi mwenyewe nawaza kunyoa na kakichwa kama katuni hapa ndio nawazaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!! Juzi nilitoka kufumua zilee nikataka kwenda saluni kunyoa wadada walionifumua wakanisihisihiii usinyoe madam usinyoee nikasuka twende kilioni kwanza izoizo naenda nazo kazini sina mudaaaa!! 😁😁😁 Ila ntazinyoa siku si nyingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…