Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787][emoji1787]Couples za Selfika zilizo hai mahaba niuwe
Wigelekelo na Saint Anne
Ntiluseswa na cocastic
Carrasco putin na Tinsley
Mjep na Lenie
Couples za Selfika zinazokaribia kukata roho
myoyambendi na Depal
mkwepu jr na Heaven Sent
Couples za Selfika zilizo mahakamani kugawana mali
Mshana Jr na Nuzulati
mtu chake na mawardat
Couples za Selfika zilizopo kwa mwanasaikolojia
Carlos Tevez na Alayna
Couples za Selfika zilizo kituo cha polisi baada ya kutaka kutoana roho
raraa reree na Kelsea
Nimekujaaa nimekujaaaaa shostee akee nichampeeee tani akoooo😘😘 wewe teinaaa . Kwanza una kesiiiiiiii😍😍😍Hebu muite nimchambeee huyo kiumbee, tena akuje fastaaa.
Madam boss lady umetutenga sanaForever and always mr Vocha. samalekooo!!✋
miss you madam 😘Miss you so muaaahhh selfikazzz
hope mko pouuuaaaaahh🥰!!
Tupo pamoja sijawatenga wapendwa tatizo kimeoooo wanafunzi walinihifadhia bana!! Kuwabanabana ndio jana wakarudisha😁😁!! Niliwamiss sana wapendwa wangu Selfika!! Hope everything with you all is gudooo!!Madam boss lady umetutenga sana
Habari za kupotea?
Tumekumiss sana
Selfika
lol 😂Couples za Selfika zilizo hai mahaba niuwe
Wigelekelo na Saint Anne
Ntiluseswa na cocastic
Carrasco putin na Tinsley
Mjep na Lenie
Couples za Selfika zinazokaribia kukata roho
myoyambendi na Depal
mkwepu jr na Heaven Sent
Couples za Selfika zilizo mahakamani kugawana mali
Mshana Jr na Nuzulati
mtu chake na mawardat
Couples za Selfika zilizopo kwa mwanasaikolojia
Carlos Tevez na Alayna
Couples za Selfika zilizo kituo cha polisi baada ya kutaka kutoana roho
raraa reree na Kelsea
Mambo dear 😘!!lol 😂
Miss you more kipenzi!! Nilikumiss hadi basi mamyyy😍😍miss you madam 😘
Pole kwa simuMambo dear 😘!!
missed you loads aiseeMiss you more kipenzi!! Nilikumiss hadi basi mamyyy😍😍
Hizo picha hata zipo sasa mr vocha madogo waliflash kila kituuuu watoto shenzyy sana waleee!! Mpaka nipige mpya mr vocha!! Na Tinsley fanyeni kunibless pullliiizzzzzzzzzzzzzzz mbona kama nishawasahau😂😂😂😂!Madam boss lady umetutenga sana
Habari za kupotea?
Tumekumiss sana
Selfika
Kimeo changu hakioneshi pichaHizo picha zipo sasa madogo waliflash kila kituuuu watoto shenzi sana waleee!! Mpaka nipige mpya mr vocha!! Na Tinsley fanyeni kunibless pullliiizzzzzzzzzzzzzzz mbona kama nishawasahau😂😂😂😂!
Lol maji ni uhaii dear shudhulikia kwanza haina noma hata badae utaniblesss!! Naimajini unavopambania kupata maji sikupatiiiii picha!😀Kimeo changu hakioneshi picha
baadae kidogo madam nitaweka nikipiga ngoja nihangaike na kukinga maji kwanza.
😅😅😅Couples za Selfika zilizo hai mahaba niuwe
Wigelekelo na Saint Anne
Ntiluseswa na cocastic
Carrasco putin na Tinsley
Mjep na Lenie
Couples za Selfika zinazokaribia kukata roho
myoyambendi na Depal
mkwepu jr na Heaven Sent
Couples za Selfika zilizo mahakamani kugawana mali
Mshana Jr na Nuzulati
mtu chake na mawardat
Couples za Selfika zilizopo kwa mwanasaikolojia
Carlos Tevez na Alayna
Couples za Selfika zilizo kituo cha polisi baada ya kutaka kutoana roho
raraa reree na Kelsea
Muzungu wetu selfika habare ya saii 😘😘 Miss you dear!!
Miss you more madamMuzungu wetu selfika habare ya saii 😘😘 Miss you dear!!