National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 Nov 4, 2022 #281,681 Tinsley said: Hali ni mbaya maji yarudi tu Click to expand... Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskini
Tinsley said: Hali ni mbaya maji yarudi tu Click to expand... Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskini
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 4, 2022 #281,682 Saint Anne said: Naogopa yaani😂 Nawaza nianze mapambano na maji kweli!. Mbona nitakonda sana,😁 Click to expand... Unapambana tu Muda wote watu wanahangaika na ndoo . kukinga shida aisee , na kama hayapo ndo taabu zaidi .
Saint Anne said: Naogopa yaani😂 Nawaza nianze mapambano na maji kweli!. Mbona nitakonda sana,😁 Click to expand... Unapambana tu Muda wote watu wanahangaika na ndoo . kukinga shida aisee , na kama hayapo ndo taabu zaidi .
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Nov 4, 2022 #281,683 Saint Anne said: Aww 😍😍😍 Mpesa yangu ipo wazi kabisaaa Click to expand... Niliuliza bei ukakaa kimya🤷♂️
Saint Anne said: Aww 😍😍😍 Mpesa yangu ipo wazi kabisaaa Click to expand... Niliuliza bei ukakaa kimya🤷♂️
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Nov 4, 2022 #281,684 Saint Anne said: Lizzy hakujibu Ila haipungui 30k kale Click to expand... Sitaki nitume muamala halafu nisione umevaa!
Saint Anne said: Lizzy hakujibu Ila haipungui 30k kale Click to expand... Sitaki nitume muamala halafu nisione umevaa!
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 Nov 4, 2022 #281,685 Mtumishi Darlin Usiku mwema, mda wa maombi ya familia kabla watoto hawajalala.. kabla ya ile mida yetu 😀😀
Mtumishi Darlin Usiku mwema, mda wa maombi ya familia kabla watoto hawajalala.. kabla ya ile mida yetu 😀😀
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 4, 2022 #281,686 National Anthem said: Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskini Click to expand... Yeah , it's really getting worse miji ya watu hii , tuombe tu mvua inyeshe.
National Anthem said: Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskini Click to expand... Yeah , it's really getting worse miji ya watu hii , tuombe tu mvua inyeshe.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 4, 2022 #281,687 Saint Anne said: Inabidi tumlete mtoto wetu aisee Kuondoka tu kidogo mtoto ameachwa ana ulcers Click to expand... Jamani polee fanya kumleta kwakweli
Saint Anne said: Inabidi tumlete mtoto wetu aisee Kuondoka tu kidogo mtoto ameachwa ana ulcers Click to expand... Jamani polee fanya kumleta kwakweli
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 4, 2022 #281,688 Jack Palladino said: Niliuliza bei ukakaa kimya Click to expand... Na mimi
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Nov 4, 2022 #281,689 Valentina said: Na mimi Click to expand... Unataka kile kigauni?
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Nov 4, 2022 #281,690 Kitambo sana humu ndani ..
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Nov 4, 2022 #281,691 Jack Palladino said: Sitaki nitume muamala halafu nisione umevaa! Click to expand... Wewe tuma halafu uone kama sitavaa
Jack Palladino said: Sitaki nitume muamala halafu nisione umevaa! Click to expand... Wewe tuma halafu uone kama sitavaa
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 4, 2022 #281,692 Gallius said: Kitambo sana humu ndani .. View attachment 2406897 Click to expand... Karibu tena
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Nov 4, 2022 #281,693 National Anthem said: View attachment 2406874 Click to expand... Huu nao niliusikiliza sana
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Nov 4, 2022 #281,694 Valentina said: Jamani polee fanya kumleta kwakweli Click to expand... Ni huzuni
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Nov 4, 2022 #281,695 Tinsley said: Karibu tena Click to expand... Nimekaribia bosslady.. Habari ya wikiendi..
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 4, 2022 #281,696 Gallius said: Nimekaribia bosslady.. Habari ya wikiendi.. Click to expand... Mungu mwema .. nzuri tu vipi wewe ?
Gallius said: Nimekaribia bosslady.. Habari ya wikiendi.. Click to expand... Mungu mwema .. nzuri tu vipi wewe ?
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Nov 4, 2022 #281,697 Tinsley said: Mungu mwema .. nzuri tu vipi wewe ? Click to expand... Mungu ni mwema, kuna baridi tu ukanda huu..
Tinsley said: Mungu mwema .. nzuri tu vipi wewe ? Click to expand... Mungu ni mwema, kuna baridi tu ukanda huu..
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 4, 2022 #281,698 Gallius said: Mungu ni mwema, kuna baridi tu ukanda huu.. Click to expand... Ooh huko mna raha Kuna joto huku .
Gallius said: Mungu ni mwema, kuna baridi tu ukanda huu.. Click to expand... Ooh huko mna raha Kuna joto huku .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Nov 4, 2022 #281,699 Tinsley said: Unapambana tu Muda wote watu wanahangaika na ndoo . kukinga shida aisee , na kama hayapo ndo taabu zaidi . Click to expand... Maji yakirudi nitarudi
Tinsley said: Unapambana tu Muda wote watu wanahangaika na ndoo . kukinga shida aisee , na kama hayapo ndo taabu zaidi . Click to expand... Maji yakirudi nitarudi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Nov 4, 2022 #281,700 Gallius said: Kitambo sana humu ndani .. View attachment 2406897 Click to expand... Shkamoo mwaalimu Naomba ng'ombe mmoja wa kulimia
Gallius said: Kitambo sana humu ndani .. View attachment 2406897 Click to expand... Shkamoo mwaalimu Naomba ng'ombe mmoja wa kulimia