Selfika na JF: Snap it. Show it

Kanoute wa ulaya au wa Simba?

Mbona kanoute hapata number ata KMC kwa majogoro?

Sijaongelea AZAM

acheni kupamba mavi maua kanoute ni average player sana
usiwe unakurupuka nawee khaaah.
 
Ni huyo huyo wa Simba, ila hatumuongelei wee unavowaza, na hata ikiwa hvyo mbna ni mchezaji bora sana.
Kwa vingine sana ila ubora wa uwanjani kwa tuliocheza mpira uyo ata kiwango changu kwakweli hafiki au nalo huamini nikupe mindanda yangu?

Kwenye 6kwa 6 Anaweza perform vizuri
 
Kwa vingine sana ila ubora wa uwanjani kwa tuliocheza mpira uyo ata kiwango changu kwakweli hafiki au nalo huamini nikupe mindanda yangu?

Kwenye 6kwa 6 Anaweza perform vizuri
ndo nimecheka sanaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…