Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚ Pole chibeby wangu!

My beautiful sweet sixteen habibty wangu. Umenoga sana I'm inlove again with you 😘😍πŸ₯°β€οΈ
Aww love of ma life, asante sana mno😍😍😍
😘😘😘
πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
Nyie wana selfika, nan anafuatilia kongamano la kitaifa Nishati ya kupikia pale JNICC - DSM.


Kuna huyo mkaka kakaa hapo, kheeeeh ni handsome balaaa.

Afu Angela Kairuki ni waziri nlikua sijui, kweli nilikua shimoni.

 
Aisee, kumbe wana JF mmeniona,
Nipo yeah! Nafuatilia kwa umakini sana.
Ni mimi hapa.
 
Alipataga pisi mpya huyo so akaniona me wa nini, ila fresh yote maisha
Mjep hana mwingine zaidi yako mtoto mwenye shape lake guu la bia mpaka muhindi ameamua akufanye private secretary. Mjep hana jeuri ya kukuacha nakuthibitisha hilo subiri baada ya nusu saa anakuja na vocha ya voda 10k kwaajili yko. Lenie unataka upendweje jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…