Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Nimeokokaa bahati nzuri shetani ataniskia kwa bombaa tu.. leo ndio ulisema unapita m city kufanya shopping .. nipo hapa nimevaa uniform za walinzi geti la upande wa kuingia bank ya nbc
Hahhahaha leo sipo huko kaka niko huku ndani ndani
Sasa si ungenipanga mapema
 
Hahhahaha leo sipo huko kaka niko huku ndani ndani
Sasa si ungenipanga mapema
Sikujua kama leo ningeenda, jana nilikuwa na mkesha kanisani, tumetoka alafajiri πŸ™‚πŸ™‚ nampenda Yesu nimekoka.. basi next week.. na ka mshahara kakihindi katakuwa kametoka.. nitakufanya suprise hata ya ice cream 🀣🀣🀣
 
Hallelluya bwana ahimidiwe mtumishiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†amina kuokoka
Naomba next week unibebe niende na wew kanisani kwenu nipate wokovu
Sawa bas next week ntakushtua kaka
 
Hallelluya bwana ahimidiwe mtumishiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†amina kuokoka
Naomba next week unibebe niende na wew kanisani kwenu nipate wokovu
Sawa bas next week ntakushtua kaka
Amen, mwana wa Mungu. jisikie huru mda wowote nipo mpendwaa, nishtue tutaenda ibadani utachagua ibada ya lugha ya kichina, English, ki French au kiswahili ... niambie mapema ili niandae logistics zote.. Mapendo Daiam, daima mapendo.. Mwanakondooo πŸ™‚πŸ™‚
 
Hiyo ni uongo banaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†mara bwana Yesu asifiwe mara niniπŸ˜†πŸ˜†stak tena na makanisa yenu… wokovu wenu wa mchongo
Hhhahaha ipange logistics vizuri tufanye kapizza bbq au margaritaπŸ˜†πŸ˜†
 
Hiyo ni uongo banaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†mara bwana Yesu asifiwe mara niniπŸ˜†πŸ˜†stak tena na makanisa yenu… wokovu wenu wa mchongo
Hhhahaha ipange logistics vizuri tufanye kapizza bbq au margaritaπŸ˜†πŸ˜†
umetaja margarita umenirudisha miaka mingi na Maureen pale JB Belmonte πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²... tupange ratiba ijuumaa au alhamisi mapemaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…