Hivi kupenda kupika huu ni ugonjwa ama ni Nini? Saint Anne
Yani Kwa jinsi nilivo na homa Leo lakini nimepika Yani jasho linanitoka hapa jikoni looh Hadi kunamtu kaja kanishangaa
Hivi kupenda kupika huu ni ugonjwa ama ni Nini? Saint Anne
Yani Kwa jinsi nilivo na homa Leo lakini nimepika Yani jasho linanitoka hapa jikoni looh Hadi kunamtu kaja kanishangaaπππ