Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,577
- 235,420
Kazi na dawaHizo dawa zinavyoleta kichefuchefu sasa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Naona mna mzuka balaaa[emoji126][emoji126] Hongereni sanaa
Mimi nilikunywa kipindi naumwaMna balaaa sio dogo..yani hamuumwi na mnakunywa tu nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii... nikiumwa kwenyewe kunywa dawa kasheshee
mie changu hichi ni kihere hereHizo dawa zinavyoleta kichefuchefu sasaπππππ!
Naona mna mzuka balaaaππ Hongereni sanaa
Ohoohazina tofauti sana
yangu ipo hivi kwa nyuma
Mimi dawa nilikua nazitupa chini ya uvunguuuππ sipendagi kabisa dawaa mie!!siogopi dawa mie ..
nilivyokuwa mdogo nilikuwa nakunywa chupa zima ya koflyn hadi inafichwa chumbani ππ ..
siku hizi nimebadilika nakunywa kiustaarabu
π₯±π₯±π₯±π₯±
Unatuangusha MkemiaMimi dawa nilikua nazitupa chini ya uvunguuu[emoji3][emoji3] sipendagi kabisa dawaa mie!!
dawa huwa ni chungu si rahisiMimi dawa nilikua nazitupa chini ya uvunguuuππ sipendagi kabisa dawaa mie!!
Njaa πππ₯±π₯±π₯±π₯±
hazina tofauti sana
yangu ipo hivi kwa nyuma
Mie huwa natanguliza kulamba sukari kdogo na dawa chungu ikienda kunasa hapa kwenye hard palate naule uchungu wake isiende kooni huko naitemaaa.. ni sipendi dawa kiukweli!dawa huwa ni chungu si rahisi
manesi wanavyojua kuchamba sasa unataka uzae mtoto mwenye mgongo wazi eeh ila wale watu Dah
Hizo dawa zinaongeza damu.Nyie watu shida nini , shida ni nini elezeni in detail tusije tukadandia tren la mwendokasi
umekosea kusema hivyo na nimeweka viambatanisho vyoteNyie watu shida nini , shida ni nini elezeni in detail tusije tukadandia tren la mwendokasi
hahaha ulikunywaje SP Sasa mbele ya manesi .Mie huwa natanguliza kulamba sukari kdogo na dawa chungu ikienda kunasa hapa kwenye hard palate naule uchungu wake isiende kooni huko naitemaaa.. ni sipendi dawa kiukweli!
Acha kabisa!! Na yalivokua makubwa fulani mapana πππππ! Ilikua lazima nibamizwe either kwa kutema kabisa au ile kuattempt kuirudisha kujifanya kama nataka kuivomitππhahaha ulikunywaje SP Sasa mbele ya manesi .
shida ni kuwa watanzania hatuna utaratibu wa kupata supplements.Nyie watu shida nini , shida ni nini elezeni in detail tusije tukadandia tren la mwendokasi